MTEZA MEDIA

The Home of News

About us

Mteza Media ni Blog ambayo inajihusisha na maswala ya taarifa (Habari) mbalimbali zikiwemo Habari  za kijamii, kisiasa, Elimu, Michezo na Burudani, MtezaMedia imeanzishwa tarehe 24/02/2018, lengo kuu likiwa ni hilo la kuhabarisha Umma.

Kama inavyofajhamika kwamba habari husaidia kuinua jamii katika nyanja mbalimbali, MtezaMedia kwakutambua hilo imeona ni vyema kuwa na chombo hiki kitakachokupa wewe Mtanzania habari zilizo sahihi,

Hivyo tuanakukaribisha sana kutembelea kurasa zetu kwa ajili ya Habari mbalimbali.